Man United mabingwa FA
Manchester United imeifunga Manchester City na kufanikiwa kubeba ubingwa wa Kombe la FA 2024, kwa kuitandika goli 2-1 kwenye Uwanja wa Emirates Jijini London na kufanya United kubeba kombe hilo kwa mara 13 ambapo mara ya mwisho kulibeba kombe hilo ilikuwa Mwaka 2016.
Kutakata kwa Manchester United kumetokana na magoli ya Alejandro Garnacho pamoja na Kobbie Mainoo, huku kwa Manchester City ikiwa imepata goli kupitia kwa Jeremy Doku.
⚽️ 30" Garnacho
⚽️ 39" Mainoo
⚽️ 87" Doku