Ligi Kuu bara yamalizika kibabe

Ligi Kuu Tanzania bara imemalizika rasmi leo hii na Yanga SC ikiibuka mabingwa wakati Mtibwa Sugar na Geita Gold zikishuka daraja.

Azam FC imeshika nafasi ya pili wakati Simba SC wakishika nafasi ya tatu na Coastal Union ikishika nafasi ya nne hivyo sasa zimepata nafasi ya kuwakilisha nchi katika michuano ya CAF.

Yanga SC imeifunga Tanzania Prisons mabao 4-1, wakati Simba SC ikiifunga JKT Tanzania mabao 2-0, Azam F. iki heza ugenini imeifunga Geita Gold mabao 2--0 na Coastal Union ikienda sare 0-0 na KMC.

Matokeo mengine ni kama ifuatavyo, Ihefu SC 2- Mtibwa 0, Mashujaa 3 Dodoma Jiji 0, Namungo 3 Tabora United 2, Singida Fountain Gate 2 Kagera Sugar 3,


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA