Ley Matampi kinara wa clean sheet Ligi Kuu bara
Golikipa wa Coastal Union FC Ley Matampi (35) ndie ameibuka kuwa golikipa mwenye Clean Sheet nyingi msimu huu akiwa na Clean Sheat 15 mbele ya Djigui Diarra mwenye CleanSheet 14.
Matampi ndiye kinara wa Clean Sheets ndani ya Ligi Kuu ya NBC akiwaacha Yona Amosi , Constantine Malimi , Djigui Diarra na John Noble na Jonathan Nahimana wakifuatia .
Kumbuka Matampi ndiye Golikipa mwenye mafanikio zaidi ndani ya Ligi Kuu ya NBC akiwa ni mshindi wa CAF Champions League, CAF Confederation Cup bila kusahau ChAN 2016 akiwa na timu ya Taifa ya Congo DR