KUELEKEA FAINALI LIGI YA MABINGWA, AHLY YAOMBA UFAFANUZI
Kuelekea Mchezo wa Fainali ya kwanza CAF Champions league kati ya Esperance na Aly Ahaly Uongozi Wa Aly Ahaly umeomba ufafanuzi CAF juu ya mambo muhimu Kwao kabla ya Mchezo huo.
Aly Ahaly wamesema awatoitaji mwamuzi yeyote kutokea kaskazini mwa Africa kusimamaia mchezo huo.
Lakini pia wameuliza juu ya utendaji kazi Wa VAR wanataka VAR dabithi.
Lakini pia Wameomba kutafutiwa ulinzi imara Kwa ajili ya kulinda Timu Yao, viongozi na mashabiki wao ambao watasafiri Kutoka Misri Mpaka Tunisia.
Lakini pia wanataka kujua kuhusu mgawanyo Wa Ticket amabzo zitauzwa ili kupata idadi sawa ya mashabiki.
Mchezo utachezwa may 18 /5/2024 Tunisia na Fainali ya pili itachezwa May 25/5/2024 Misri