Kiungo mpya Simba akinukisha timu ya taifa Togo
Kiungo wa klabu ya Ihefu Sc Marouf Tchakei akiwa kwenye majukumu ya timu yake ya Taifa ya Togo.
Togo wanajiandaa na mechi mbili za kufuzu Kombe la dunia 2026 dhidi ya South Sudan (Juni 5) na DR CONGO (Juni 9)
Kumbuka Simba Sc wako mbioni kuinasa Saini ya kiungo Huyo.