Kibu aigomea Taifa Stars
Winga wa Klabu ya Simba,Kibu Denis amegoma kujiunga na Kikosi cha Taifa Stars kwa ajili ya kambi iliyopo Indonesia kujiandaa na Mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Taifa ya Indonesia.
Taarifa zinasema Kibu amesema anakwenda mapumziko nchini marekani.