FIFA yawaalika makocha wa Afrika kwenye droo ya kombe la dunia
FIFA wame waalika makocha Wakuu baadhi Kutoka Bara la Afrika kuhuduria Draw ya Kombe la Dunia Ngazi ya Klabu makocha hao ni kutokea katika vilabu Vifuatazo.
🔹 Al Ahly🇪🇬
🔹 ES Tunis🇹🇷
🔹 Mamelodi Sundowns🇿🇦
🔹Wydad 🇲🇦
Mbali na makocha hao wame jumuishwa pia viongozi wawili kuhuduria Draw iyo itakayo fanyika Marekani mwenzi ujao.
Lakini pia watafanikiwa kutembelea viwanja mbali mbali vitakavyo tumika katika Michuano iyo.
Kumbuka kombe la Dunia ngazi ya Klabu litafanyika 2025.