Aziz Ki atasaini Yanga- Mobeto
Na Ikram Khamees
Mwanamitindo na msanii wa bongo muvi Hamisa Mobeto amesema mchezaji wa Stephanie Aziz Ki atahakikisha anabaki katika klabu ya Yanga.
Mobeto ameyasema hayo juzi kwamba atahakikisha kinara huyo wa mabao anasaini tena Yanga na akiendelea kuwapa furaha mashabiki wa timu hiyo.
Mobeto ambaye aliwahi kuonekana kwenye klabu ya Simba, akiwa kama shabiki wake, lakini ameonekana Yanga.
Msanii huyo mrembo zaidi hapa nchini ameonekana kumdatisha staa huyo wa Yanga, Aziz Ki anataka kuondoka kwenye kikosi hicho na inadaiwa anaweza kujiunga na timu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika au Pyramids ya Misri