Azam FC yashusha Mcolombia mwingine
Mshambuliaji Jhonier Blanco (23) anakaribia kuwa mchezaji mpya wa Azam fc timu ya Tanzania.
Kuna makubaliano ya pande mbili kati ya Azam fc na klabu ya Águilas Doradas.
Mshambulizi huyo atasafiri saa chache zijazo ndani ya wiki hii anaweza kutambulishwa na klabu ya Azam fc.
Katika klabu ya Azam fc kuna Wakolombia wawili: Franklin Navarro na Yeison Fuentes