AZAM FC YAIFANYIA KITU MBAYA SIMBA

Taarifa zilizonifikia mezani ni kwamba Azam FC wanakaribia kukamilisha dili la kumsajili mlinzi wa Coastal Union, Lameck Lawi nyota wa timu ya taifa ya Tanzania.

Inaelezwa kuwa Azam FC watalipa dau lisilopungua Tsh million 150 kuvunja mkataba wa nyota huyo huko Coastal Union.

Nyota huyo alikuwa akiwindwa pia na Simba SC kwaajili ya kwenda kuboresha safu yao ya ulinzi pale Msimbazi

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI