PYRAMIDS YAPIGA HODI TENA YANGA

" Pyramid FC itatuma ofa yake ya Pili ya kumuhitaji Nyota wa Yanga na Burkina Faso Ki Aziz Stephane (28) ambaye kwa sasa ni Mwiba kwa wapinzani wa Yanga

Ofa ya Kwanza ya Pyramid FC ilikuwa na thamani ya Billion 1.498.670.000

Yanga waliipiga Chini ofa hiyo na kumpa Ki Aziz Stephane Mkataba Mpya ambao utamuweka Yanga Mpaka 2026

Mpaka sas Ofa za Kumuhitaji Ki Aziz. Zimefika sita (6)

✺ Pyramid FC ─ 1.4 Billions
✺ Orlando Pirates ─ 800 Millions
✺ Super Sports Club ─ 700 Millions
✺ Far Rabat ─ 980 Millions
✺ Azam FC ─ 700 Millions
✺ Cape Town City ─ 770 Millions

"Yanga imezikusanya Ofa izo na kuanza kuzipitia moja Baada ya Nyingine huku Tayari wakiwa wamempa Mkataba Mpya kiungo huyo . (Top Score wa Ligi Kuu)


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA