Pesa za AFL kusaidia klabu za Afrika- Motsepe
Rais wa CAF Dkt Patrice Motsepe anasema pesa zitakazotolewa na AFL zitasaidia vilabu vya Afrika kuweza Kutunza Wachezaji wao Bora watakao Wazalisha.
"Tunaweza kushindana na kuwalipa wachezaji wetu wa Kiafrika zaidi ya kile wanachopata katika Baadhi ya Nchi za Ulaya"