PAMBA YAREJEA LIGI KUU BARA
-Hatimaye baada ya miaka 23 timu ya Pamba Jiji FC ya Mwanza imefanikiwa kupanda Ligi Kuu ya NBC baada ya leo kushinda kwa magoli 3-1 dhidi ya Mbuni FC ya Arusha.
Pamba wameungana na Kengold FC ya Mbeya kupanda Ligi Kuu bara msimu huu moja moja . huku Mbeya Kwanza na Biashara United ya Mara zitacheza play off ya kutafuta nafasi ya kupanda Ligi Kuu bara