MPIGA PICHA MILLARD AYO AFARIKI DUNIA
Mpiga Picha na Mwandishi wa Habari wa Emillardayo Bayotv_ Noel Mwingila (Zuchy) amefariki
dunia Alfajiri ya leo Baada ya Kupata ajali ya Pikipikii Maeneo ya Makonde - Mbezi, Dar es salaam.
Zuchy ni mmoja mwa wapigapicha Mahili kwenye Tasnia ya Habari na alifanikiwa kufanya kazi na watu mbalimbali.
Kwa taarifa iliyotolewa na mtu wa karibu ameeleza kuwa ajali hiyo imetokea majira ya saa tisa usiku