KOCHA WA FULHAM KUMRITHI BENCHIKHA
Kocha Omar Najhi anatazamiwa kuteuliwa kuwa kocha mkuu mpya wa Simba SC mkataba umekamilika.
Makubaliano yametiwa muhuri usiku wa kuamkia leo kwa mkataba wa miaka miwili - na atahudumu hapo hadi Juni 2026 kama Omar Najhi alivyokubali.
Simba SC imechukua hatua hiyo ya kuziba pengo la Abdelhack Benchikha aliyeondoka klabauni hapo siku ya jana.
Mazungumzo na kocha aliyekuwa kocha wa vijana wa Fulham na kocha msaidizi wa Wydad casablanca ya Morocco ambaye atasaini mkataba baadaye wiki hii.