KINACHOMWONDOA BENCHIKHA SIMBA HIKI HAPA
"Nimeomba kuondoka klabu mwishoni mwa msimu huu kutokana na sababu zangu binafsi (kifamilia) nahitaji kuwa nyumbani Algeria."
"Ligi ya hapa sidhani kama itaweza kunipa thamani pia nahitaji kubeba ubingwa wa afrika kitu ambacho hakiwezekani kutokana na aina ya timu niliyonayo."