KENGOLD YABISHA HODI JANGWANI
Klabu ya Kengold iko kwenye rada za kuwania saini ya kiungo mshambuliaji Farid Mussa ambaye amekuwa hapati nafasi mara kwa mara ndani ya Yanga SC.
Farid Mussa anatarajiwa kusaini Mkataba wa miaka miwili na miamba hao waliopanda ligi kuu kwa Msimu ujao.
Ikumbukwe Farid Mussa Malik yuko chini ya management ya Oscar Oscar.