KAMBOLE AIPONZA YANGA, YAFUNGIWA NA FIFA
FIFA imewafungia Yanga ya Tanzwnia kufanya usajili wa Kimataifa hadi watakapomlipa Lazarus Kambole ambae anadai fidia ya kuvunjiwa mkataba wake na malimbikizo ya mshahara
TFF nao wameifungia Yanga kufanya usajili wa ndani kutokana na kosa hilo