INJINIA HERSI AZUNGUMZIA SAKATA LA PACOME


"Jana nimeulizwa na Mzee wangu Jakaya vipi kuhusu Pacome? Yaani imetengenezwa stori moja ya uongo uongo tu"

"Wanasema ni kwasababu kuna kesi FIFA, sijui Yanga wasimtumie mchezaji kwasababu watakatwa point, ni vitu vya kipuuzi tu"

"Kuna vitu vingine ukivisikia havi-make sense, mara sijui hana vibali vya kukaa nchini"

"Huyu mchezaji anacho kibali cha kukaa nchini, huyu mchezaji amepata leseni ya TFF, huyu mchezaji amepata leseni ya CAF, amecheza mechi za Ligi na mashindano ya CAF na akapata majeraha"

"Alivyoitwa timu ya Taifa ya Ivory Coast tulikubaliana kwamba huyu mchezaji aende kwasababu ya kulinda nafasi yake, lile taifa lina wachezaji wengi sana duniani kote"


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA