BENCHIKHA KIKAANGONI SIMBA
kocha mkuu Wa Simba SC ameitwa kwenye kamati ya nidhamu ya Simba Sc na anapaswa kujibu juu ya kauli yake aliyoitoa kwenye press anatarajiwa kufanya kikao Baada tu ya mechi za Muungano kutamatika.
Aprili 20/4 Baada ya mchezo wa Watani Wa jadi na Simba kupoteza Kwa Magoli 2-1 kocha alitoa maneno yaliyotafsriwa ayakuwa maneno ya kiuungwana Kwa Wachezaji.
Benchikha alisema “Toka nimeanza kufundisha mpira sijawahi kufundisha Wachezaji wenye vichwa vigumu kama hawa, CV yangu inashuka Kila siku.”