AMAZULU YAMFUATA SKUDU MAKULUBELA
Timu ya Amazulu ya Afrika Kusini inamfuatilia kwa karibu Mchezaji wa Young Africans Skudu Makudubela mwenye miaka 34 Ili kuipata Huduma yake msimu ujao.
Mchezaji huyo wa zamani wa Club ya Marumo Gallants mkataba wake na Young SC unatamatika mwishoni mwa msimu huu.
Amazulu Kwa sasa inanolewa na Kocha wa zamani wa Club ya Simba Pablo Franko Martin.