YANGA YAVUNJA REKODI KWA MKAPA
Kwa mara ya kwanza uwanja wa Benjamin Mkapa ulijaa na waliojaza huo uwanja si wengine bali ni mashabiki wa Yanga mashabiki elfu sitini 60000 hadi Azam TV waliwataarifu mashabiki waliopo nje ya uwanja warudi nyumbani wafuatilie mchezo kupitia televisheni uwanjani hakuna nafasi ya kukaa
Kwa maana hiyo Yanga imeweka rekodi kwa kujaza mashabiki wengi kuliko timu yoyote hapa nchini iliyoweza kujaza mashabiki wengi
#𝗗𝘂𝗸𝗲𝘂𝗽𝗱𝗮𝘁𝗲𝘀