VINARA WA MAGOLI LIGI YA MABINGWA AFRIKA, PACOME NDANI
Na Van Mapande
Orodha ya Wachezaji (5) Vinara wa Magoli Katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAF Champions League) mpaka Sasa huku Kinara akiwa Mshambuliaji Sankara Karamoko ambaye alishatimka katika Klabu ya ASEC Mimosas katika dirisha la Usajili la mwezi January na Kujiunga na Klabu ya Wolfsberger AC ya Austria.
1. Sankara Karamoko(Asec) - 5️⃣
2. Pacome Zouzoua(Yanga) - 4️⃣
3. Saido Ntibanzonkiza (Simba) - 4️⃣
4. Fiston Mayele(Pyramids) - 3️⃣
5. Glody Likonza(Mazembe) -3️⃣