TWENTY PARCENT KUREJEA TENA KWENYE BONGO FLEVA



Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva Twety Parcent ameongea kuhusu ujio wake kwenye industry ya Bongo fleva na kuongelea baadhi ya vitu.

Twenty Percent ameeleza kuhusu mabadiliko ya muziki wa Bongo Fleva na kueleza kuwa kwa sasa hakuna wana muziki wa wasanii Tanzania bali kuna Wana Riziki.

Twenty ameongeza kuwa wengi sio wasanii ila wana force kuishi maisha ya kisanii na ndio mana unasikia watu wengi wakihoji juu ya maisha ya msanii flani mfano gari analotembelea badala ya kuhoji kuhusu muziki wake.

Ameongeza kuwa anashamgazwa sana na wasanii wanaoingia studio kila siku kurekodi na hao ndio wanaoharibu muziki kwa sababu wanaharibu misingi wa muziki.

Pia ameongelea suala la tuzo zilivyoharibiwa baada ya watu kuanza kupeana tuzo kwa kufahamiana.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA