TIMU YA MAXI NZENGELI YAVUNJA PAMBANO DR CONGO
Katika mchezo wa ligi kuu nchibi DR Congo kati ya Maniema dhidi ya Lupopo, ambapo mashabiki wa klabu ya Maniema walimpiga mwamuzi aliyekuwa anachezeha mchezo huo baada ya kutoridhishwa na maamuzi ya mwamuzi huo.
Maniema ndiyo timu aliyokuwa anaichezea kiungo mshambuliaji wa Yanga, Maxi Nzengeli wakati Lupopo ni timu anayouchezea George Mpole aliyewahi kuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu bara msimu wa 2022/2023