REDIO YA ALIKIBA BADO SANA
Boss wa CrownMedia "Alikiba" amefunguka sababu za kutowashwa kwa mitambo ya radio yake "CrownFm" licha ya kutambulishwa rasmi wiki kadhaa zilizopita.
Akipiga story na #Etrending KingKiba amefunguka kwa kusema "Kuna suprise ameiandaa kwa wasikilizaji wake hivyo mashabiki wakae mkao wa kula"- alisema Alikiba