MWAMNYETO AIGOMEA YANGA

Nahodha wa Yanga SC Bakari Nondo Mwamnyeto amegoma kurejea kambini kujiandaa na mchezo wa robo fainali ya Ligi ya mabingwa Afrika CAFCL dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini kutoķana na kile kinachodaiwa ufinyu wa nafasi katika kikosi cha kwanza.

Katika mechi za hivi karibuni kocha wa Yanga Miguel Gamondi amekua akiwatumia Dickson Job na Ibrahim Baka kama mabeki wakati, kitu ambacho kinamnyima furaha Mwamnyeto


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI