AZIZ KI, DIARRA WASHUSHA PRESHA YANGA

Golikipa Namba moja wa Klabu ya Yanga, Djigui Diarra na Kiungo Mshambuliaji Stephen Aziz Ki wamerejea nchini na jioni ya leo na moja moja wameingia kambini Avic Town.

Wachezaji hao Jioni hii wamefanya mazoezi na wachezaji wenzao tayari kwa maandalizi ya mwisho ya mchezo wa kesho Jumamosi wa hatua ya Robo Fainali dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika KusiniKatika Michuano ya Ligi Mabingwa dhidi ya Mamelodi Sundowans ya Afrika Kusini.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA