ZUCHU AVUNJA REKODI
Malkia wa bongofleva nchini Zuchu amevunja rekodi baada ya kufikisha watazamaji zaidi ya 500 milioni katika mtandao wa youtube.
Zuchu ndiye msanii wa kike wa kwanza kufikisha total views zaidi ya 500 milioni katika mtandao wa YouTube East Africa.
Hivi ni yeye malkia wa muziki East Africa?