YANGA WAKISHINDA 4-0 WANAFUZU MOJA KWA MOJA
Yanga wanahitaji kushinda 4 dhidi ya CR Belouzdad ili kufuzu moja kwa moja leo
Wakishinda hizo wametinga robo fainali bila kusubiri mechi ya Ahly.
Wakishinda chini ya hapo watatakiwa kwenda kutafuta alama 1 kule Cairo kwa Ahly! Wakisare watatakiwa kwenda kushinda kule kwa Ahly kisha waombe Belouzdad atoe sare dhidi ya Medeama au apoteze