RIGOBERT SONG ATIMULIWA CAMEROON
Kocha Rigobert Song hatoendelea kuwa kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Cameroon Kocha huyo mwenye umri wa Miaka (47) amemaliza mkataba wake na Shirikisho la soka la nchi hiyo FECATOOT limeamua kuachana nae.
Takwimu za Rigobert Song Akiwa na Timu ya Taifa ya Cameroon.
🏟 Mechi: 23
✅ Kushinda: 5
🤝 Sare: 9
❌ Kupoteza: 9