RICH MAVOKO AREJEA KWA KISHINDO KWENYE BONGOFLEVA
Baada ya Rich Mavoko kurejea rasmi kwenye muziki kwa wimbo wake 'miss you ' hadi sasa chini ya masaa 15 video ya wimbo huo ina jumla views 60k YouTube.
Ndo mwanzo ameanza baada ya kunyamaza kwa muda. Labda tutarajie kurudi kuendeleza alipoachia!!!
Jambo litakalo ufanya muziki wake ukose kwenda juu kwa kasi ni marufuku kuonekana kwenye media.