MOSES PHIRI AANZA KUTUPIA ZAMBIA
Mshambuliaji hatari,Mosses Phiri hapo jana (Jumapili) aliifungia bao timu yake ya Power Dynamos na kufanikisha kupata alama moja dhidi ya wababe Zesco United.
Hii ni mechi ya kwanza kwa Phiri tangu ajiunge na timu hiyo akitokea Simba Sc