MO DEWJI ADAI AMEINUNUA SIMBA
"Nafikiri kitu cha gharama zaidi nilichonunua kwenye maisha yangu ni klabu ya mpira ya Simba yenye zaidi ya mashabiki million 35 na niliipenda timu hii toka enzi za ujana wangu".
*Niliinunua klabu hii miaka mitano iliyopita na nimeifanya klabu hii kuwa miongoni mwa klabu 10 bora zaidi barani Afrika ni jambo kubwa inaleta furaha sana".
Mohammed Dewji, Mwekezaji wa Klabu ya Simba SC