INONGA MGENI RASMI SIMBA VS JWANENG
“Mgeni rasmi katika mchezo dhidi ya Jwaneng Galaxy ni Henock Inonga sababu ndio mchezaji pekee katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati ameifikisha timu yake ya taifa DR Congo kwenye nafasi ya nne kwenye AFCON iliyomalizika hivi karibuni.
Hayo yamesemwa na Afisa Habari wa klabu ya Simba, Ahmed Ally, tayari wachezaji wa Simba wamewasili leo wakitokea Ivory Coast ambapo walienda kucheza na Asec Mimosas na kutoka sare tasa 0-0