IHEFU SC SASA KUITWA SINGIDA LEOPARDS FC



Baada ya klabu ya Ihefu FC kuhamia Mkoani Singida rasmi ambapo watakua wakitumia Uwanja wa CCM Liti pale Singida

Kwa mujibu wa Ripoti mbalimbali inasemekana kwamba Ihefu ipo kwenye mchakato wa kubadilisha jina lake na kuitwa Singida Leopard FC kuanzia Msimu unaokuja

Wakati huo inasemekana kua Klabu ya Mbeya Kwanza FC ipo kwenye mchakato wa kununuliwa na itabadilishwa jina na kuitwa Ihefu FC


Wakati huo huo Singida Fountain Gate itabadilishwa jina na kua Fountain Gate Academy na makao yake yatakuwa Mwanza kwenye Uwanja wa Fountain Gate uliopo Gwambina.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA