YANGA YAWEWESEKA KWA KILANGALANGA
Mabosi wa Yanga wametua kwa straika wa timu ya Bisha FC ya Saudi Arabia, Glody Kilangalanga ambaye alijiunga na klabu hiyo msimu huu inayoshiriki Ligi Daraja la Pili nchini humo ambaye wanaamini atawafaa.
.
Kilangala (23) ana mkataba na timu hiyo ambayo alitua akitokea CS Chebba ya Tunisia, ambapo Yanga inataka kufanya biashara moja kati ya mbili, ama kuuziwa au kupewa kwa mkopo.