WAZIRI WA MICHEZO IVORY COAST ADAI PACOME HAWAMJUI
Waziri wa michezo nchini Ivory Coast amesema hajui kama mchezaji Pacome Zouzoua anakiwasha kwa kiwango cha kuogopesha kwenye ligi ya Tanzania. Ndio maana hajashangaa kutomuona kwenye timu ya taifa.
Hayo ameyasema alipozungumza na waziri Dr. Damas Ndumbaro alipomuuliza (kwa utani)- Kwanini nyota huyo wa @yangasc hajajumuishwa kwenye kikosi cha taifa?