SIMBA YAMWANGUKIA CHAMA, YATAKA AREJEE KIKOSINI
Klabu ya soka ya Simba imemtaarifu Clatous Chama kuwa arejee kambini kwaajili ya kutumikia mkataba wake wa miezi mitano uliobaki.
Klabu itazungumza nae kuhusu suala lake la nidhamu kisha itamruhusu aanze mazoezi na wachezaji wenzake