SIMBA YAMLA TEMBO MARA 4

Wekundu wa Msimbazi , Simba SC jioni ya leo imedhihirisha kwamba wao ni wakubwa mbele Tembo baada ya kuilaza mabao 4-0 katika uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam mchezo wa kombe la Azam Sports Federation Cup, ASFC maarufu kombe la FA.

Wekundu hao waliandika bao la kwanza kupitia kwa Luis Miquissone dakika ya 11 kabla ya Saido Ntibanzokiza kupiga la pili dakika ya 31.

Lakini Wekundu hao waliandika bao la tatu kupitia kwa Omar Jobe daiika ya 81 kabla ya Saleh Karabaka kuhitimisha ushindi wa Wekundu hao daoika ya 83


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA