NOVATUS DISMAS NDANI, STARS IKIIVAA DR CONGO
Kikosi cha Timu ya Taifa “Taifa Stars” kitakachoanza katika mchezo wa AFCON Kundi F dhidi ya DR Congo kwenye uwanja wa Amadou Gon Coulibaly, Ivory Coast.
Katika kikosi hicho kiungo mkabaji Novatus Dismas anayecheza Ukraine katika klabu ya Shakhtar Donesk ambaye alikosekana kwenye mchezo dhidi ya Zambia, ataanza leo dhidi ya DR Congo na kwa vyovyote matumaini ya ushindi kwa Tanzania ni makubwa