MWAKINYO ATWAA MKANDA WA WBO KWA KO
Bondia kutoka Tanzania Hassan Mwakinyo amefanikiwa kunyakua Mkanda wa WBO baada ya kumtuanga Bondia kutoka nchini Ghana Elvis Ahorgah kwa KO raundi ya 7.
Mwakinyo amefanikiwa kuubeba mkanda huo katika pambano lililifanyika Zanzibar..