MUBARAK AMZA AJIUNGA KAGERA SUGAR
Kiungo Mshambuliaji wa Zamani wa Klabu ya Coastal Union ya Tanga, Mubarak Amza Ngamchiya raia wa Cameroon amejiunga na Klabu ya Kagera Sugar ya hapa mkoani Kagera kwa mkataba wa iiaka miwili akitokea klabu ya Ihefu SC kwa uhamisho huru baada ya kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na klabu hiyo kutoka wilayani Mbarali Jijini Mbeya.