KAIZER CHIEF YAFUFUA MATUMAINI YA KUMNASA TSHABALALA
Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini imefufua matumaini ya kumsajili mlinzi wa kushoto wa Simba SC, Mohamed Hussein 'Tshabalala'.
Wababe hao wa Afrika Kusini wanajiandaa kutuma ofa kwenda Simba SC kwa ajili ya mlinzi huyo.