IDRIS MBOMBO ATUA NKANA RED DEVILS
Aliyekuwa Mshambuliaji wa Klabu ya Azam FC, Idris Mbombo Amejiunga na Klabu ya Nkana Red Devil FC ya Zambia kwa Mkataba wa Mwaka Mmoja kwa Uhamisho huru,
Hii ni baaada ya Nyota huyo raia wa DR Congo Kufikia Makubaliano ya kuvunja Mkataba wa Miezi Sita uliosalia Baina yake na Azam FC.