GUINEA YAICHAKAZA EQUATORIAL GUINEA LALA SALAMA
Dakika za jioni kwbisa zimeifanya Guinea kutinga robo fainali ya kombe la mataifa Afrika, AFCON baada ya kuilaza Equitorial Guinea bao 1-0 katika mchezo wa hatua ya 16 bora.
Bao pekee lililofungwa dakika ya 90+8 na Mohamed Lamin Bayo limeifanya timu hiyo kuisubiria Misri au DR Congo ambazo baadaye zitashuka uwanjani.
Jana usiku Nigeria iliilaza Cameroon mabao 2-0 na kutinga robo fainali, saa 5 usiku Misri itaumana na DR Congo