CAF YAKOSOLEWA KISA KISWAHILI
Mtandao wa African Football Greats imetoa taarifa kuwa CAF imekosolewa baada ya kumzuia kocha na nahodha wa Tanzania, Mbwana Samatta, kutumia lugha ya Kiswahili kwenye mikutano ya waandishi wa habari, wameagiza kuwa lugha zinazotakiwa kutumika ni Kifaransa, Kingereza, Kireno na Kiarabu.