BALEKE AENDE LIBYA KWA MKOPO
Mshambuliaji wa zamani wa Simba SC, Jean Othos Baleke (23) amejiunga na Al Ittihad ya Libya kwa Mkopo wa mwaka mmoja hadi Januari 30, 2025, Baleke alieifungia Magoli (8)
Msimu huu akiwa na Simba amejiunga na Al Ittihad baada ya kuachana na Simba SC na kumrudisha TP Mazembe ambapo imemtoa tena kwa mkopo mwingine.