ZAMALEK YAWAPELELEZA PACOME, NZENGELI
Klabu ya Zamalek itatuma maafisa wake nchini Algeria katika mchezo wa CR Belouizdad dhidi Yanga kwaajili ya kuwafuatilia kwa karibu Pacone Zouzoua na Maxi Nzengeli.
Taarifa kutoka gazeti la Championi zinaeleza kuwa Maafisa hao inaarifiwa kuwa watatua pia Tanzania kuendelea kuwafuatilia wachezaji hao watakapokuwa wanacheza michezo ya kimataifa pekee katika michezo ya nyumbani ya Yanga..