YANGA IMEKAMILISHA USAJILI- ALI KAMWE
Msemaji wa Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara YOUNG AFRICANS Ally Kamwe amesema timu hiyo tayari imekamilisha kwa kiwango kikubwa usajili wa wachezaji wanaowahitaji katika mlango wa dirisha dogo.
Ally Kamwe amewafahamisha mashabiki wa soka na wanazi wa klabu hiyo kuwa klichobaki ni kusubiri wakati ufike ili kuwatangaza wachazaji hao wapya ambao hakuja idadi yao, timu wanazotoka wala nchi.